1. (Mt 11:28) Twende kwake, twende kwake kwake
\ Yesu, sasa, Sasa twende kwake, kwake Yesu sasa!
2. (Mdo 16:31)Akwokoe, akwokoe, Bwana Yesu sasa,
\ Sasa akwokoe, Bwana Yesu,sasa!
3. (Yn 3:16)Msadiki, msadiki, Bwana Yesu
\ Sasa, Sasa msadiki, Bwana Yesu sasa!
4. (Ebr 7:25)Anaweza, Anaweza, BwanaYesu,
\ Sasa, Sasa anaweza, Bwana Yesu sasa!
5. (2Pet 3:9)Anapenda, anapenda, Bwana Yesu,
\ Sasa, Sasa anapenda, Bwana Yesu sasa!
6. (Yn 6:37)Akubali, akubali, Bwana Yesu,
\ Sasa, Sasa akubali, Bwana Yesu sasa!
7. (Mt 3:7)Njoo hima, njoo hima, kwake Yesu,
\ Sasa, Sasa njoo hima, kwake Yesu sasa!
8. (Mdo 2:21)Mlingane, mlingane, Jina lake
\ Sasa, Sasa mlingane, Jina lake sasa!
9. (Mk 10:47)Bwana Yesu, niokoe, niokoe
\ Sasa, Sasa niokoe, Bwana Yesu, sasa!
10. (Mk 10:52)Hana budi, hana budi, kukujibu
\ Sasa, Sasa hana budi, kukujibu sasa!
11. (1Yoh 1:9)Utapata, utapata, msamaha
\ Sasa, sasa utapata msamaha sasa!
12. (1Yon 1:7) Utapata, utapata, kutakaswa
\ Sasa,sasa utapata kutakaswa sasa!
13. (2Kor 5:17)Utaumbwa, utaumbwa, umbo
\ Jipya, sasa, Sasa utaumbwa umbo jipya sasa!
14. (Ufu 3:5)Utavikwa, utavikwa nguo nzuri
\ Sasa, Sasa utavikwa nguo nzuri sasa!
15. (Yoh 15:13)Akupenda, akupenda Bwana
\ Yesu sasa, Sasa akupenda, Bwana Yesu sasa!
16. (Isa 53:3)Sikatae, sikatae, wema wake
\ Sasa, Sasa sikatae wema wake sasa!
17. (1 Yoh 5:13)Umwamini, umwamini, Bwana Yesu,
\ Sasa, Sasa umwamini Bwana Yesu sasa!
18. (Zab 145:7)Mtolee, mtolee, sifa zake,
\ Sasa, sasa mtolee sifa zake, sasa!
19. (Yoh 5:40)Njoo kwake, njoo kwake, Kwake Yesu,
\ Sasa, sasa njoo kwake, kwake Yesu, sasa!
20. (Zab 73:25)Sina budi, sina budi, Nawe Yesu,
\ Sasa, sasa sina budi nawe Yesu, sasa
Comments
Post a Comment