330 KATIKA NEEMA YA YESU

1. Katika neema ya Yesu Nimeokolewa,
Nilipotea dhambini, kipofu rohoni.


2. Bali neema ya Yesu Yanitosha sana,
Ilinifumbua macho, Ikanifungua.


3. Nilikuwa mwenye hofu Nilifungwa nazo,
Nimefunguliwa sasa Kwa neema ya Yesu.


4. Tutakapofika wote Mbinguni kwa Mungu,
Tutashukuru neema ya Yesu milele.


Comments