1. Maisha ya dunia hii Yatakwisha kabisa.
Wampendao Bwana Yesu Watakwenda kule juu.
Tuonane sisi sote Nyumbani juu mbinguni!
Tuonane sisi sote Nyumbani juu mbinguni!
2. Ndugu wengi wameitwa Kwenda kule.
Mbinguni, Najua tutaonana. Siku moja kule juu.
3. Bila shaka unapenda Kuwaona wapenzi.
Utakuwa karibu na Bwana Yesu milele.
Comments
Post a Comment