1. Siku kuu ya mashangilio, Inatufikia tena,
Ulisike neon hili: “Yesu amezaliwa.”
Imba duniani pote pia, Imba, wote wajue!
Sifa zina Mungu wetu juu, Amani kwetu.
2. Uvumba na dhahabu sina, Ya kumtolea Bwana,
Ila moyo wangu na pendo Ninampa Mwokozi.
3. Sisi sote tumsifu Mungu, Kwa upendo wake
mkuu! Alitutumia Mkombozi, Mwana wake wa pekee.
Comments
Post a Comment