104 USIKU WA SIFA


1. Usiku wa sifa, Wa raha na nuru, Alipozaliwa
Mwana M-takatifu na mwema. Mwana ndiye
Mungu, Mwana ndiye Mungu.


2. Usiku wa sifa, Wachunga bondeni
Nuru iliwaogofya, malaika wakaimba,
’Kazaliwa Mwana, ’kazaliwa Mwana.


3. Usiku wa sifa, Neema na amani,
Upendo na ukombozi, Umewafikilia wote
Kwa Masihi Yesu, Kwa Masihi Yesu.


Comments