105 WAKATI WA KRISMASI


1. Wkati wa Krismasi nafika horini,
:/:Alipolala Yesu, maskini mtulivu.:/:


2. Mwokozi wangu mwema alifika kwetu,
:/:Niache dhambi zangu, ili niwe wake.:/:


3. Namhitaji Yesu, Rafiki wa wote,
:/:Sitaki kumwuliza kwa kutenda dhambi. :/:


4. Nitamshukuru Yesu, sasa na milele,
:/:Maana alifika, ili tuokoke.


Comments