1. Yesu katika Bethelehemu Kwa umaskini
alizaliwa, Ndiye Mwokozi wa ulimwengu.
Tupate wokovu.
Tupate wokovu, Tupate wokovu Ndiye
Mwokozi wa ulimwengu Tupate wokovu.
2. Yesu akafa Msalabani Kuniponya akalipa deni,
Hilo ndilo neon la ajabu: Alinifilia.
3. Alinifilia, Alinifilia Hilo ndilo
neno la ajabu, Alinifilia.
4. Yesu ni mwenye upendo mwingi,
Na nilipotanga-tanga mbali. Alikuja
kwa upole kweli. Ili kuniita.
5. Ili kuniita, Ili kuniita, Alikuja
kwa upole kweli, Ili kuniita.
6. Yesu Kristo atarudi tena, Hilo
lanifurahisha sana, Yeye Bwana
akionekana, Atanichukua.
7. Atanichukua, Atanichukua.Yeye Bwana
akionekana, Atanichukua.
Comments
Post a Comment