11 IKIWA WANIULIZA MSINGI

  1. Ikiwa waniuliza, Msingi wa uzima,
    Twahitaji kuongeza kwa kazi ya Yesu?
    Kwa furaha nitajibu: “Msingi wangu ni wa
    nguvu, Ni damu ya Yesu Kristo,
    Inatosha sana.”


  2. . Mwamba wa zamani sana,
    Wadumu milele. Na hata siku ya kufa
    nautegemea. Nitakapotoka huku,
    Nitamsifu Mwana-Kondoo. Damu ya
    Mwokozi wangu, Yafungua mbingu.

Comments