1. Mtoto amezaliwa, Kwa ajili yetu sote, Yeye
Ni Mwana wa Mungu. Aleta Amani kwetu.
Na umaskini aliutwaa, Alilala horini,
Twakukaribisha Yesu, Mgeni wetu mpendwa!
2. Dhahabu na tunu yote Ya hapa ulimwenguni,
Haziwezi kuwa kwako, Zawadi za kupendeza.
Hata hivyo ulikubali Umaskini wa mwili.
Twakukaribisha Yesu, Mgeni wetu mpendwa!
Comments
Post a Comment