1. Tunaimba habari za Yesu Kristo. Damu
Yake yatusafisha kweli. Tunaweza kuwa
Huru, Kwani Yesu alitufilia msabani.
Haleluya, Mwokozi! Haleluya, tumsifu!
Haleluya, Karibu Tutafika juu!
2. Twafurahi, kwa neema yake kubwa
Alituletea uzima tele. Ingawaje njia yetu ni
Nyembamba Kwa nguvu za Yesu tutapia tu.
3. Tunaimba juu ya Roho Mtakatifu Aliyetumwa
hapa duniani. Tunapiga vita vilivyo vizuri
Na tutapewa taji ya uzima.
Comments
Post a Comment