145 MUNGU WA NEEMA


1. Mungu wa neema, Wanijaza moyo,
Ninaishi katika wewe. Ulinihamisha
Na kuiingiza katika ufalme wa Yesu.


2. Sasa nakusifu Wewe, Bwana Yesu,
Ukaaye rohoni mwangu. Ninachohitaji
Wanijaza kweli. Kwako ninakaa salama.


3. Waitwa “Upendo” Na unanipenda,
Safarini wanihimiza. Mimi ni dhaifu,
Wewe una nguvu, Unaniongoza daima.


4. Mbele zako Mungu, Hakuna kivuli,
Nuru inaangaza moyo. Ndani yake Yesu
naishi salama. Nimekuwa kiumbe kipya.


Comments