1. Mle kaburini Yesu ’kazikwa,
Alifunikwa na giza kubwa.
Bwana alifufuka, Akavunja nguvu za kifo!
Mshindaji mwenye mamlaka yote,
Ni mfalme milele na milele. Yu hai,
Yu hai, Bwana Yesu yu hai!
2. Alivyotabiri Yalitimizwa,
Kweli alitoka kaburini.
3. Walinda kaburi Waliogopa,
Walikiri kwamba Yesu yu hai.
4. Mauti ni pingu Hazikuweza
Kum-shikilia Bwana wetu.
Comments
Post a Comment