1. Waliaminio neno la Mungu Watapata nguvu kuwa
washindi, Kwani Bwana Yesu aliahidi,
Atathibitisha Neno kwa tendo.
Ushindi, ushindi kwa damu ya Yesu! Ushindi,
ushindi wakati wote! Mungu anatupa nguvu ya
kushinda. Umtii Yesu na tutashinda!
2. Kati' vita kali Tusiogope, Mungu ndiye nguvu
Yetu na ngome. Tuamini Neno na Mungu Ishara
kuu Zitatufuata. Tuamini tu!
3. Nguvu ya kupinga hila za Mwovu, Nguvu ya
Kufanya kazi ya Mungu Twapata kwa Yesu, Na
ishara kuu Zitatufuata. Tuamini tu!
Comments
Post a Comment