1. Shamba la Mungu limeiva, Liko tayari
Kuvunwa. Wavunaji, mfike mbio Ili
Kuvuna kwa bidii.
Bwana Yesu twakuomba, Uwatume
wavunaji, Wakusanye miganda yote
Kwako Yesu, Bwana wetu.
2. Uwatume mapema sana Asubuhi na
Mchana, Hata saa ya magharibi Uwaite
Wavunaji.
3. Ee Mkristo anakuita. Nenda mbio,
usingoje! Macho yako uyainue Kwani
Yesu aja hima!
Comments
Post a Comment