1. Mungu ni pendo, Apenda watu.
Mungu ni pendo, Anipenda.
Sikilizeni furaha yangu,
Mungu ni pendo, Anipenda.
2. Nalipotea katika dhambi,
Nikawa mtumwa wa Shetani.
3. Akaja Yesu kunikomboa,
Yeye ’kanipa kuwa huru.
4. Sababu hii namtumikia
Namsifu Yeye siku zote.
Comments
Post a Comment