1. Wokovu katikaYesu, Mwenye dhambi apata.
Kumpatanisha na Mungu Yesu tu anaweza.
Yesu Kristo anaweza Kuwaokoa wote
wa dhambi! Yesu Kristo anaweza Kuwaokoa
wanaomjia.
2. Amenisamehe dhambi, Nami ni
Mwenye heri. Nimesafishwa damuni
Yesu tu anaweza.
3. Nawe mpe moyo wako, Hali yako ajua!
Kukuokoa kabisa Yesu tu anaweza.
4. Apenda kukupa raha Na kukusaidia.
Na utaimba daima Yesu tu anaweza!
Comments
Post a Comment