2 KIPO KIJITO CHA DAMU

  1. Kipo kijito cha damu ya Yesu,Mwokozi wetu,
    Kioshacho wakosaji, Dhambi na uchafu,
    Dhambi na uchafu, Dhambi na uchafu,
    Kioshacho wakosaji, Dhambi na uchafu.


  2. M-salabani mnyang’anyi, Alikiona kisima,
    Nami niliye dhaifu, Nitakaswe pia,
    Nitakaswe pia, Nitakaswe pia. Hata mini ni
    m-nyonge,Nami nitakaswe.


  3. Ee Mwokozi damu yako, Siku zote ina nguvu,
    Kuokoa wenye dhambi, Mataifa yote,
    Mataifa yote, Mataifa yote, Kuokoa wenye
    dhambi, Mataifa yote.


  4. Kijito hicho cha ‘jabu, Tumaini langu jema.
    Upendo wako nasifu, Nausifu sana,
    Nausifu sana, Nausifu sana,
    Upendo wako nasifu, Nausifu sana.


  5. Nimekuamini Bwana, Kwani ulinifilia.
    Maisha uliyatoa, Kwa ajili yangu,
    Kwa ajili yangu, Kwa ajili yangu.
    Maisha uliyatoa, Kwa ajili yangu.

Comments