203 PENDO LA MUNGU KATIKA YESU

1. Pendo la Mungu katika Yesu limeonyeshwa kwetu,
Kama maji kutoka chemchemi labubujika kweli.


2. Pendo la Mungu ndilo kuu mno, Ni lenye utulivu.
Lipokee tu Moyoni wako, Kwa jina la Mwokozi.


3. Pendo la Mungu lakupa nguvu Katika roho yako.
Ujumbe mwema wafika kwako, Mungu ndiye upendo.


Comments