1. Msifuni Mungu kwa furaha kuu.
Leo mtu ameokoka! Mwana mpotevu
Amerejea Kwa Baba, amesamehewa.
Nyimbo za furaha huko juu, Tena furaha
kubwa kwetu. Twamsifu Mungu,
twashangilia. Mtu amemwamini Yesu!
2. Msifuni Mungu kwa furaha kuu.
Mkosaji amefunguliwa! Yesu ameivunja
Minyororo, Amemfanya kuwa mwana
3. Msifuni Mungu, pasha habari
Hata kwao walio mbali! Mtu amekuwa
Kiumbe kipya. Amesafishwa dhambi zake.
Comments
Post a Comment