218 MIMI MTOTO MASKINI

1. Mimi mtoto maskini, Ila nafurahi, Kwa kuwa
Babangu mwema Anitunza vema.


2. Babangu ananipenda, Ananifundisha. Upendo
wake wapita Vyote vya dunia.


3. Katika shida na taabu Ninaimba hivi:
"Nina kimbilio langu, Ndiye Baba Mungu!"


Comments