221 EE MTOTO YAINUE MACHO

1. Ee mtoto, yainue Macho yako mbinguni!
Bwana Yesu huko juu Akuona daima.


2. Ukiomba asikia Kati' shida akulinda,
Na Anakuandalia kao zuri kwake juu.


3. Mpende Yesu, mfuate Uyatii maneno yake,
Nao Malaika wake Watakutwaa kwake!

Comments