1. Yesu mwenye pendo kubwa, Usinipite!
Katika maombi yangu Unibariki!
Yesu, Yesu, Unisikie!
Ukibariki wengine, Usinipite!
2. Ninakiendea sasa Kiti cha neema.
Kutokuamini kwangu Niondolee!
3. Nakutegemea Bwana, Uniongoze!
Roho yangu imevunjwa, Unipokee!
4. Wewe Yesu ni kisima, Furaha yetu!
Nani ni mchunga mwema, Ila wewe tu!
Comments
Post a Comment