228 KATIKA UTOTO WAKO

1. Katika utoto wako Ambapo ungali safi, Sauti
inakuita: "Mwana nipe moyo wako!"


Wajua nani huyo, Ambaye akuita? Ndiye
Yesu, Rafiki; Anakuita: "Njoo kwangu!"


2. Katika ujana wako Wasikia mwito wake,
Jinsi utakavyoshinda, Mwovu akikujaribu.


3. Ikiwa katika uzee Ungali umo dhambini,
Kufa kunakaribia, Mwokozi akwita leo!

Comments