23 NIKIMWONA KWA IMANI

  1. Nikimwona kwa imani Yesu Mkombozi,
    Ninawaka kwa upendo, Ninavutwa kwake.
    Ninaona majeraha, Ya mikono na ubavu,
    Na humo ninajificha, Naishi salama.


  2. Imanueli m-pendwa ’nilinde daima,
    Mpaka nifike kwako, Mbinguni huko juu.
    Milele hata milele, Hakuna la kunipinga,
    Kumsifu Yesu Mwokozi, Kwa kunifilia.

Comments