241 SITAYATAMANI TENA

1. Sitayatamani tena mambo ya dunia, Mema yote ni
Kwa Yesu, nampenda Yeye. Kati' maisha yangu Yesu
Ni wimbo wangu, Safarini, nyumbani namsifu Yesu.


2. Mimi mtu heri sasa, nampenda Yesu. Vyote nimempa
Yeye, namtumikia. Tumaini langu kuu ni kufika huko
Juu, Safarini, nyumbani namtumikia.


3. Kwa maisha yangu yote nimfuate Yesu! Nifanane
Naye Bwana, niwe nuru huku! Nimkiri Yesu pote,
Katika hali zote, Safarini, nyumbani nifanane nae!

Comments