246 SIFA HESHIMA ZINA

1. Sifa, heshima zina wewe Mungu,
Uliyetupenda kale na sasa!


Haleluya, Usifiwe! Utukuzwe Mungu!
Haleluya Usifiwe! Utukuzwe Mungu!


2. Sifa, heshima zina wewe Yesu,
Uliyekufa kwa ajili yetu!


3. Sifa, heshima zina wewe Roho,
Unayemtukuza Yesu na damu!

Comments