1. Shika mikono yangu, Mungu wangu.
Uniongoze hadi nifike juu. Ukiniacha
Bwana, Napotea, Nataka kufuata - uendako.
2. Unitulize nikiwa na hofu, Nisisahau
Kamwe neema yako. Katika mkono wako
Napumzika. Ukiwa nami Yesu - nina raha.
3. Nikiingia katika huzuni Na giza njiani,
Usiniache! Shika mkono wangu, Mungu
Wangu! Hata nikifa Leo, niende juu.
Comments
Post a Comment