251 HERI MIMI KWANI MWOKOZI

1. Heri mimi kwani Mwokozi wangu Aliniondoa
dhambi. Shangwe na furaha zinanijaza, Nafurahi
daima!


Nafurahi daima, Nafurahi daima!
Heri mimi kwani Mwokozi wangu
Aliondoa dhambi!


2. Heri kwani Yesu alifufuka! Ni furaha,Yu hai Ni rafiki
kweli anayetupa Uhuru 'toka dhambi.


3. Nafurahi daima, Nafurahi daima!
Heri kwani Yesu alifufuka!
Ni furaha, Yu hai!


4. Heri kwani Yesu aniongoza, Namfuata Mwokozi.
Kwa kuyaamini Maneno yake siwezi kupotea.


5. Nafurahi daima, Nafurahi daima!
Heri mimi kwani aniongoza,
Siwezi kupotea!

Comments