Chemchemi hiyo inabubujika, Yaniletea uzima.
Kando ya maji ninaburudika, Nashangilia
daima.- Nakaa karibu na kisima hiki,
Naishi kwa maji yake. Yaniletea kupita kipimo,
Uzima na shangwe kweli. - Nakaa karibu na kisima hiki, Naishi salama
sana. Fika upesi uliye na kiu, Kisima
chabubujika! - Nakaa karibu na kisima hiki.
Ni furaha na uheri. Na kando ya maji nafasi ipo,
Waweza kupona kweli.
Comments
Post a Comment