1. Ninao wimbo wa kunifurahisha
Wa Mwokozi, Wa Mwokozi. Namshukuru
Kwa moyo na kwa roho Mwokozi mzuri mno.
Mwokozi-wimbo wangu, Ni Yesu,
Ni Yesu! mahali pote na siku zote
nitamsifu Yesu kwa yote. Mwokozi-wimbo
wangu huku na mbinguni.
2. Jina lake lafanana na marhamu, Jina lake
Ndilo Yesu. Kutoka kwake Napata vita
Vyema, Mwokozi mpendwa wangu.
Comments
Post a Comment