307 AMENIHUISHA SITAKUFA

1. Amenihuisha, Sitakufa, la!
Na imeandikwa, Sitakufa, la!
Kama mti ’mepandwa
Kando ya maji, Sitakufa, la!


: /:Sitakufa, Sitakufa, la!: /:
Kama mti ’mepandwa kando ya maji,
Sitakufa, la!


2. Kwa damu yake ameninunua,
Kwa Roho wake amenibatiza.
Kama mti ’mepandwa
Kando ya maji, Sitakufa, la!


3. Namtumikia, Sitakufa, la!
Nguvu amenipa, Sitakufa, la!
Kama mti ’mepandwa
Kando ya maji, Sitakufa, la!


4. Yesu atarudi, Sitakufa, la!
Karibu kufika, Sitakufa, la!
Kama mti ’mepandwa
Kando ya maji, Sitakufa, la!

Comments