31 KATIKA SAFARI YETU

  1. Katika safari yetu kwenda mbinguni,
    Tusilale usingizi, Tuwe na bidii.


    Kaza mwendo, tusifungwe Twende mbio tu!
    Yesu Kristo ni Mwokozi, na Mfalme Mkuu.



  2. Yesu atupatia maji ya uzima,
    Maji hai ya milele yaburudisha.


  3. Njia ya miiba mingi inaumiza,
    Hofu na hatari nyingi zafadhaisha.


  4. Mungu wetu atungoja Huko kwake juu,
    Yesu ni Mwokozi wetu, Tumfuate tu!

Comments