1. Ukiona shida mbele, Mwamini Mwokozi,
Utapata nguvu tele Ukimwamini.
Mungu atusaidia Tukim-tegemea.
Tutaona maajabu Tukimwamini.
2. Ukikuta majaribu, Mwamini Mwokozi,
Utapokea ushindi Ukimwamini.
3. Ukiachwa peke yako, Mwamini Mwokozi.
Naye atafika kwako Ukimwamini.
4. Ukishikwa na huzuni, Mwamini Mwokozi.
Utazame juu mbinguni Na kumwamini.
Comments
Post a Comment