313 DALILI ZOTE ZINATUONYESHA

1. Dalili zote zinatuonyesha, Yesu yuaja tena!
Tumwabudu kwa unyenyekevu, Yesu yuaja tena!


:/:Yu karibu, Yu karibu, Yesu yuaja hima!:/:


2. Ewe Mkristo unayelegea, Yesu yuaja tena!
Ukainuke na uwe tayari, Yesu yuaja tena!


3. Farijianeni kwa neno hili, Yesu yuaja tena!
Huzuni zote zitaondolewa, Yesu yuaja tena!


4. Paza sauti, tangaza habari, Yesu yuaja tena!
Arusi yake inakaribia, Yesu yuaja tena!





Comments