316 MIMI SIWEZI KUHESABU

1. Mimi siwezi kuhesabu Matendo ya Mungu kwangu
Kama umande asubuhi Yanametameta pote. Mimi
Siwezi kuhesabu Matendo ya Mungu kwangu.


2. Kama nyota zote za mbingu Siwezi kuyahesabu,
Lakini yananiongoza hata katika giza kuu. Kama
nyota zote za mbingu Siwezi kuyahesabu.


3. Mimi siwezi kuhesabu Ila namshukuru Mungu
Kwa ajili ya pendo lake Na kwa neema ya ajabu.
Mimi siwezi kuhesabu Ila namshukuru Mungu.


Comments