47 NIKIONA UDHAIFU


1. Nikiona udhaifu, Imani haba,
Nikijaribiwa sana, Yesu anilinda.


Ananilinda, ananilinda
Kwani Yesu anipenda, Ananilinda.


2. Peke yangu sitaweza Kushinda vema.
Pendo langu ni dhaifu. Yesu anilinda.


3. Mimi mali yake sasa, Nimeokoka.
Alitoa damu yake. Yesu anilinda.


4. Haniachi nipotee, Ananilinda,
Kila amfuataye, Yesu amlinda.


Comments