61 ENYI WATU WA SAYUNI


1. Enyi watu wa Sayuni, Kundi dogo la Yesu,
Yeye aliwanunua, Kuwa mali ya Mungu.
Sasa mnapita njia ya miiba na shida, Kati’ nchi
ya ugeni, Bali mbingu ni mbele


2. Kumwamini, kum-penda Yesu, Uheri wetu.
Upendo unatimiza Amri zote za Mungu.
Twaokoka kwa imani; Uzima wa milele
Tumepewa nawe Yesu, Utujaze upendo.


3. Ju-u ya m-singi Kristo, Ninapenda kujenga.
Niungane nawe Yesu, Nalo kanisa lako! Sisi
wateule wako Tunashirikiana, Na katika kundi
zima, Tuwe na nia moja


Comments