1. Wenye matumaini Kufika mbinguni
Jivikeni mioyo yenu na utakatifu!
Mtakate, Mtakate kama Yeye, mtakate!
Tokeni katika dhambi, Mkatakasike!
2. Msienende tena katika maovu,
Ufalme wa Mungu wetu ni mtakatifu.
3. Usemi wenu nao utakate kweli
Kujitenga na maovu ni utakatifu.
4. Yesu ni kiongozi, yu Mtakatifu.
Kweli nasi yatupasa kuwa kama Yeye.
5. Baba, Mwana na Roho ni Watakatifu.
Mbinguni wanamwimbia, Ee Mtakatifu.
Comments
Post a Comment