1. Twapasha habari ya mbingu,
Makao ya wenye heri. Nasi twatamani
kufika, Nyumbani kwetu mbinguni.
Huzuni na shida haziwezi kuingia.
Huko juu mbinguni, Kuna furaha milele.
2. Twapasha habari ya mbingu, Na mji mzuri sana.
Na jeshi la watakatifu Waliowasili huko.
3. Twapasha habari ya pendo Mbinguni kuna
Amani, Na raha baada ya vita. Kwa Mungu
Baba tutakaa.
4. Twapasha habari za Yesu, Alitusamehe dhambi.
Ingawa ni shida njiani, Tutafikishwa mbinguni.
Comments
Post a Comment