89 NAJUA JINA MOJA TU


1. Najua jina moja tu, Lapita majina yote.
Lanipa raha moyoni, Jina hilo ni Yesu.


Yesu, jina lako tu, Yesu, wewe ni pendo.
Katika jina lako utulinde, Ee Yesu!


2. Napenda jina la Yesu, Linanivuta kwa
Mungu. Katika huzuni yangu Lanifariji sana.


3. Siwezi kuueleza Uzuri wa jina hilo,
Namwimbia Bwana Yesu, Nasifu Jina lake


Comments